King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,595
- 1,371
Wakuu nina milioni 5 hapa kama mtaji mbali na pesa ya kulipa kodi ya frem na tozo nyingine.
Kodi ya fremu nategemea kuanza na shilingi laki 2 mpaka 250k
Location popote penye wingi wa watu.
Tupeane ABCD Kwa wajuzi na walio fanikiwa kwenye hii biashara.
Pia vipi mwelekeo wa hii biashara ya miamala kwa sasa commision kwenye watu au wateja wengi ni ngapi ina range.
NB: nikijiongeza nikaongeza milioni labda 5mil. Ikawa 10mil. Mbali na kodi nikafanya na huduma nyingine zote kama malipo ya serikali Gepg kama
Latra, Polisi, TANESCO, Maji, TFS na huduma nyingine za kiserikali kama Salary Slip kwa watumishi n.k....pamoja na Takataka nyingine serikali imedeligates majukumu kwa watu wenye uwezo wafanyie watu lets say kitu kama loss reports, kutengenezea mtu leseni ya kazi, kusajilia watu kampuni, kununua printers za kuprints Tshirts na labels za wafanyabiashara, vyama, vikundi na taasisi mbalimbali..
NYONGEZA
Kiufupi wakuu mi nina nia ya kupambana serious japo pesa ni kiduchu, bado wanasema information is power.
Ndani ya mwaka na expect niwe mbali sana kupitia hardwork.
Nilikuwa na idea kibao nyingine nimeziokota humu humu jukwaani mfano kuna mdau aliweka uzi wa idea ya kufungua hardware kwa mtaji wa milioni 10 kwa kweli jamaa alijipapambanua vizuri sana na inaonesha amewahi fanya hiyo kazi ana ins and outs zake......
Nilishafanya kwa kuajiriwa kwenye biashara ya kuuza bidha za viatu jumla na reja reja jinsia zote kwa mkibosho mwenzangu 😁
Binafsi nina idea na viatu special vya dukani kuanzia moka za events kike/kiume, sandles kike/kiume, yebo zote, slippers/malapa, njumu viatu vya michezo, viatu vyote vya casual iwe simple na raba kali kama nike, jordan, airforce/nike, LV, puma etc, rain boots, safety boots za sites n.k
Idea ni nyingi wakuu hata pia town na idea kwa mbali ya kuuza madawa ya binadamu e.g pharmacy sema nini! hii business ina vibali vingi na ukifungua duka la dawa muhimu DLDM, huwezi ona raha japo linalipa ila you will find hard uje kujipata kwenye kitu kama Pharmacy, mwenye Pharmacy ashatoboa maisha tofauti na Duka la dawa.
Siku zote pesa nitatumia kufanya investment kulingana na nilicho nacho if ningekuwa na bilioni ningewaza mambo ya ardhi mapema sana maana security na turnover zinaridhisha.
Likewise sina uzoefu na mambo ya vyuma magari japo kwenye logistics hakukwepeki kwa mfanyabiashara.
vile vile biashara za msimu kusikilizia upepo kwa mtaji kiduchu huwa amani sina mfano mazao na nafaka au mali kuoza nyanya, vitungu n.k hizi mimi sio priorities maana kulia ni muda wowote, though the higher the risk the higher the returns, cant afford put big risk kwenye mtaji kuduchu, though i like kutake risk....
Ila akili imeamua itulie hapa kwenye miamala wakati nazoom fursa nyingine hapa na pale kule nest 😅😅😅