kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,743
- 2,920
Wadau nina mtaji wa milioni 3 unatoka na kazi ya kukopesha vyombo nifanye biashara gani maana hasa hivi wakopaji wamekuwa wasumbufu hawalipi na nimefanya miaka 5. Nataka nifanye biashara nyingine usiyohusiana na mikopo. Nipo Dar Gongo la Mboto.