MTAJI wa 25m: Pharmacy au hardware

Forrest Gump

JF-Expert Member
Jul 2, 2021
622
1,399
Wanajamii,

Najua zote ni best ideas:

●Hardware ya vifaa vidogo vidogo vya ujenzi

●Pharamcy ya kisasa

■LOCATION: Miji mikubwa au miji inayokuwa kwa kasi. Katika maeneo yaliyokuwa na movement kubwa za watu.

Naombeni maoni yenu kutokana na uzoefu na uelewa wenu kuhusina idea ipi yenye return nzuri na ya uhakika from time to time.

Karibuni.
 
Inategemea mahara ulipo, hizo biashara zina faida na risk zake, taja uko wapi tukushauri kulingana na hilo eneo
 
Kwa akili ya haraka haraka, hardware ili upige pesa vizuri lazima iwe maeneo ambayo watu wanajenga saana,ukikaa sehemu ambayo ishajengeka saana,uuzaji wake sio kivile.

Pharmacy haijalishi saana eneo japo ukiwa karibu na hospital kubwa inapendeza zaidi lakini popote itakapokuwa bado utapiga pesa sababu wagonnjwa wapo kila mahala.

N.b sina hardware nina jamaa yangu anayo,nimeliona hili toka kwake.
 
Wanajamii,

Najua zote ni best ideas:

●Hardware ya vifaa vidogo vidogo vya ujenzi

●Pharamcy ya kisasa

■LOCATION: Miji mikubwa au miji inayokuwa kwa kasi. Katika maeneo yaliyokuwa na movement kubwa za watu.

Naombeni maoni yenu kutokana na uzoefu na uelewa wenu kuhusina idea ipi yenye return nzuri na ya uhakika from time to time.

Karibuni.
Safi
 
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ahsante tupac
 
Wanajamii,

Najua zote ni best ideas:

●Hardware ya vifaa vidogo vidogo vya ujenzi

●Pharamcy ya kisasa

■LOCATION: Miji mikubwa au miji inayokuwa kwa kasi. Katika maeneo yaliyokuwa na movement kubwa za watu.

Naombeni maoni yenu kutokana na uzoefu na uelewa wenu kuhusina idea ipi yenye return nzuri na ya uhakika from time to time.

Karibuni.
Sina uzoefu na Hardware.

Kwa Pharmacy kama unataka ya kisasa/kubwa/kueleweka, hapo unaweza kuongeza kibubu hadi 30M ndio itapendeza.

Au kwa mtaji huo unaweza kuanzisha Duka la Dawa Muhimu(DLDM) lenye hadhi ya kueleweka.

Mchawi wa biashara hii ni Location, location, location... ukipata location ambayo ina pharmacy chache au hamna kabisa weka hapo.

Unatakiwa uwe tayari kusimamia hii biashara kwa nguvu zako za kutosha.

Usitarajie kupata faida kwa muda mfupi na biashara iweze kujiendesha. Plan inapaswa iwe ya muda mrefu.

Biashara ikianza kujiendesha hapo nunua kinywaji kitamu ukipendacho ujipongeze
 
Famasi urasimu mwingi sana..kuweka mfamasia..kwalipa..bado kaguzi nyingi sana zitakundama..kuazia ofisi ya mganga mkuu mpaka famasi kansili..

Bora uende na hardware sehemu zinazojengeka sana kama dom.

All the best.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ahsante jiwe!!!
 
Back
Top Bottom