Troubleshooter
Senior Member
- Mar 30, 2016
- 112
- 111
Je wewe ni kijana mwenye kipaji na uwezo wa kutengeneza systems mbalimbali za kielektroniki kwa ubora wa hali ya juu?
Karibu ujiunge nasi GSTAR SERVICES ili tuweze kuunganisha mawazo na kutengeneza mfumo kwa malengo ya kibiashara, kama unakumbana na changamoto za kimfumo na kimtandao tutakusupport na kushirikiana ili kufanya jambo litakalo tunufaisha wote kwa pamoja.
Kwa aliye tayari tuwasiliane kupitia. Tuma CV yako na baadhi ya kazi ulizowahi kufanya.
gstarservicestz@gmail.com.