A
Anonymous
Guest
Suala la mtaala mpya kidato cha tano 2024 bado ni mkanganyiko lipi tamko la serikali juu ya hilo.
1. Kuna baadhi ya shule walishapewa semina juu ya utekelezaji wake lakini shule zingine bado.
2. Kuna baadhi ya shule hazijapewa semina hivyo wanatekeleza mtaala bila uhakika zaidi.
3. Kuna baadhi ya shule hawatekelezi kisa hawana mafunzo ya mtaala mpya wa elimu.
ULIZO.
Je, serikali kwanini wamewahi kutangaza mtaala mpya kutekelezwa bila kuupa muda kwa wadau na watekelezaji?
Kwanini wametoa vitabu vipya vya mtaala mpya na kuhitaji vitumike mwaka huu huu.
Kwanini maamuzi wanafanya wao zaidi (mamlaka na watu wachache).
TUNAOMBA TAMKO LA SERIKALI JUU YA UTEKELEZAJI MPYA UNAOLETA MKANGANYIKO KWA WALIMU IKIBIDI USITISHWE MARA MOJA UCHUKUE HATA MIAKA MITANO MBELE NDIO UTEKELEZWE.