Msiniulize nimejuaje. Ila kwa nini dada poa wengi wanapendelea K~VANT

Mshangazi

JF-Expert Member
Sep 9, 2024
1,144
4,415
Natamani kujua siri ya hiko kilevi.

Coz nipo na chupa ya pili sasa na najisikia kuagiza inayofuata

Nzuri ladha yake ukichanganya na coke

Ingawa mie sio dada poa.

Nina BIASHARA zangu TOFAUTI
 
Enzi hizo nilijua ukiiweka tu ndani inaanza kufyonza utamu yenyewe kama yenyewe. Kumbe kuna kupampu tena! Ukubwa dawa Aisee!

Ila haya yote yamesababishwa na hekaeka za uchaguzi
 
Back
Top Bottom