Msinishangae jamani!

shine G

Senior Member
Apr 21, 2016
172
115
salama jamen?
Husika na kichwa cha barua hapo juu.Mimi ni Mwl wa shule msingi,tatizo linalokuja ni kwamba sitaki kabisa hata kusikia suala la kuolewa na mwl.
Eti nahisi hatuwez fikia mafanikio tukiwa na mshahara unaolingana kama mnavojua salary yetu jaman.Au am wrong?

Mashauri ya aina yote naruhusu wapendwa.samahan walimu.
 
Take home kwa mwl wa shule ya msingi Ni sh. Ngap? Na sekondary Ni sh. Ngap ndo ntakushaur vizur
 
kwa iyo unatafuta mwanaume mwenye pesa mingi kuliko walimu wenzako njoo inbox upate pesa ila hauolewi mana ndo mnachotaka nyinyi wenye nia ya kuoa mnawazingua sasa dawa yenu ni kuwapotezea mda tu

ndo maana nimeomba ushauri jaman
Take home kwa mwl wa shule ya msingi Ni sh. Ngap? Na sekondary Ni sh. Ngap ndo ntakushaur vizur
 
Shiling 100 ukijumlisha na 100 nyingine inakuwa sio 100 , bali 200, kwa mantiki hii ilikufika huko unakokutaka inakupasa kukubali na kufikilia mbele sana na wala sio sababu kutofika mbali kwakua eti mshahara mdogo, jitahidi mkuu hata computer ilikuwa kubwa kama sanduku lakini sasa waweza itia mfukoni tu na mambo yakasonga..
 

Amina,b blessed kaka
 
Kama humtaki mwalimu ina maana kuna option nyingine, unamtaka nani? Polisi, mbunge, injinia, au?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…