MSIMAMO WA MEDALI ZA OLYMPICS 2024 KWA NCHI ZA AFRIKA

greater than

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
1,653
3,025
Michezo ya Olympic inaendelea,Washindi katika kila michezo wanazidi patikana...
Angalia orodha ya nchi za Afrika zilizopata medali mpaka....
  1. Kenya - Medali 6,Riadha
  2. Afrika Kusini - 5,Kuogelea+Mbio fupi+Rugby+Baiskeli
  3. Uganda - 2,Riadha
  4. Algeria- 2,Ndondi + Gymnastics
  5. Morocco- 2 , Mpira + kuruka viunzi
  6. Ethiopia - 2,Riadha
  7. Botswana - 1,Mbio fupi
  8. Misri -1 ,Mpira
  9. Tunisia-1 ,Taekwondo
  10. Cape Verde-1 Ndondi
  11. Zambia - Mbio fupi
Nilicho kiona
  • Bara la Afrika lina uwekezaji mdogo kwenye michezo
  • Nchi za weusi ni tunajua kukimbia tu.
  • Waarabu wapo katika kila michezo
  • Ukitaka kushinda medali kwenye michezo ya majini na hatari ,peleka Ngozi nyeupe.mf Afrika Kusini...
  • Ukanda wa Afrika Mashariki ndiyo waongoza kwa medali,,,Asanteni Kenya,,Ug na Ethiopia
 
Michezo ya olimpic inahitaji uwekezaji kwenye maeneo ya michezo tofauti tofauti kwa muda mrefu
 
Back
Top Bottom