Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,570
- 9,432
Mkuu huyu ameuwa watu wasio na ugomvi nae na wala alikuwa hawajuani na baadhi ya aliowauwa. Huyu hakuna kufufuliwa na nuru. Huyu ni wa jehanam. Allah wenu kakataza kuuwa watu wasiokutendea ubaya.Sio wote wanaokufa wanazikwa na shujaa huyu angefaa akazikwa hivo hivo na damu yake hakika wenye kufa kwa ajili ya Allah ni mashujaa na damu yao ni ushahidi tosha watafufuliwa wakiwa na nuru
Sio upumbavu wewe huelewi maana ya shujaa huyu kajitoa kupigana na watu wanaostarehe duniani wakifanya uharibifu duniani kwa kufanya dhambi na kufuja mali kwa uchafu ilihali watu wengine wanakufa njaa watoto wadogo wanabakwa damu inamwagika duniani bora kawaonyesha nao uchungu wanaopata wengine hivo amekufa kishujaa kuwakumbusha wengine nao wajueKwako huyo ndiye shujaa? Endeleeni kujazana upumbavu.
Are you serious?? Like really!!??Sio upumbavu wewe huelewi maana ya shujaa huyu kajitoa kupigana na watu wanaostarehe duniani wakifanya uharibifu duniani kwa kufanya dhambi na kufuja mali kwa uchafu ilihali watu wengine wanakufa njaa watoto wadogo wanabakwa damu inamwagika duniani bora kawaonyesha nao uchungu wanaopata wengine hivo amekufa kishujaa kuwakumbusha wengine nao wajue
Seriously aau ufuatilii yanayoendelea duniani kuna mataifa yakiguswa ndio ugaidi mengine yakiguswa sawa wa palestina kila siku wanauuwawa kwa ajili ya ardhi yao mbona hamsemi akiuwawa mmarekani au muingereza mnaleta masikitiko yenu humu kwendeni hukoAre you serious?? Like really!!??
Waliokataa kuzika ni Waislam mkuu..Ndio amekataza na wale wanaouawa na mabomu ya trump na mshirika wake mkuu uingereza watoto na wanawake huko Syria huko Afghanistan huko Iraq na kwingineko wana hatia gani kudunguliwa na kuharibiwa maisha mkuki kwa nguruwe kwa Binadamu mchungu eeh
Waislam hao wanafiki hata katika Quran wametajwa wa naangalia ya dunia wasaliti wa kubwa hawafai kuitwa waislam wa subiri adhabu yao nayo inakujaWaliokataa kuzika ni Waislam mkuu..
Waislam wenzio sasa wanaupiga vita Ugaidi!Waislam hao wanafiki hata katika Quran wametajwa wa naangalia ya dunia wasaliti wa kubwa hawafai kuitwa waislam wa subiri adhabu yao nayo inakuja
Unajua maana ya ugaidi au unaongea tu na sio kila unayemuona anajiita muislam anaujua uislam wengine waislam jina hawana lolote kazi kulinda maslahi yao ya kiduniaWaislam hao wanafiki hata katika Quran wametajwa wa naangalia ya dunia wasaliti wa kubwa hawafai kuitwa waislam wa subiri adhabu yao nayo inakuja
Waislam wenzio sasa wanaupiga vita Ugaidi!
Nenda kawasaidie BOKO HARAM weusi wenzako
Mzoga chunga ulimi wako hujui wewe utafia wapi au utazikwa au waweza zama baharini na usionekana mwili wako Binadamu hutakiwi kuapiza wanadamu wenzako acha chuki kuwa mstaarab
Umesema kweli sana ndugu yangu siku zote babu wa makafir ni mmoja yaani watu ni wao tu wengine taka takaSeriously aau ufuatilii yanayoendelea duniani kuna mataifa yakiguswa ndio ugaidi mengine yakiguswa sawa wa palestina kila siku wanauuwawa kwa ajili ya ardhi yao mbona hamsemi akiuwawa mmarekani au muingereza mnaleta masikitiko yenu humu kwendeni huko
Ndio kwani wengine wenye kuuwawa ni haki yao kufa mbona mnaangalia upande mmoja
Sheria inasema akifa mwanaadamu na azikwe japo na watu wawili basi wote watakuwa wametekeleza wajibu na hakuna atakayelaumiwa ila wakiacha kumzika watapata dhambi wote sasa hao waislamu walikataa kumzika wametoa wapi hukumu hiyo?Labda wangesema tunamzika bila kumuombea tungewaelewa vinginevyo kuna shinikizo. Siungi mkono alichofanya salman abed (kama ni kweli)ila kuacha kumzika ni unafiki wa huo msikiti uliopitilizaWaliokataa kuzika ni Waislam mkuu..
Hakuna failure za maisha a najitoa kwa wanaonewa wanaishi kwa dhiki juu ya ukandamizaji wa mataifa makubwaHueleweki. Hao watu aliowaua Manchester wamemfanya nini? Aliyemtuma ajiue ndiye amchukue akamzike. Binadamu wamekataa, wewe unasemaje?
Kama alitakak ufa angekunywa sumu tu akafe. Failures za maisha na upumbaveu ndizo zinawafanya watu wajae wivu na kuanza kuumiza watu wengine. Upumbaveu!