Ikishika moto ndio utajua tofauti ya mbingu na ardhiUkipata nyumba ya kuishi kama hiyo,hakika uta enjoy sana
Kwani ni ngapi zimeshika moto?Ikishika moto ndio utajua tofauti ya mbingu na ardhi
Uswahilini hawakawii kuitia kiberiti MkuuUkipata nyumba ya kuishi kama hiyo,hakika uta enjoy sana
Walioujenga ni waumini, inaelekea si mjini hapo ni kijijini. Wametumia malighafi inayowazunguka. Juu China moto si rahisi.Hapo imamu akitofautiana na waumini njiti moja tuh msikiti hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app