Katika mahojiano hayo ambayo nmeyapata kwenye audio anasikika jerry muro akimuuliza mwandishi huyo wa kike kuwa mapumziko ya kocha wa yanga yanamhusu nini?akasisitiza yule ni mume wa mtu baba mwnye watoto wanne je mwandishi anataka akapumzike naye?
Kiuhalisia hakupaswa kumdhalilisha mwandishi wa kike kiasi cha kumuuliza huyo mwajiri wake anamlipa kwa nini wakat "anaonekana hopeless" kwa tafsiri ya reasoning. Dada wa watu ikabidi aombe mapumziko. Nikawaza kama ameolewa na mumewe kasikia yale maswal nadhan itakuwa shida.
Huyo ndo jerry muro bwatubwatu.