Kuelekea 2025 Msigwa hana haja ya kuzunguka nchi nzima. Hana huo ushawishi na watanzania wengi hawamjui labda huko kwao Iringa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
25,994
62,474
Kwema Wakuu!

Wapinzani pekee ambao ni maarufu kwa level ya kitaifa ni Freeman Mbowe, Tundu Lisu, Slaa na Zito Kabwe.

Lakini waliobakia hawana umaarufu kwa level ya kitaifa labda kikanda.

Msigwa anaweza akapita pale kariakoo na watu wasimtambue.

Wanaomfahamu Msigwa ni wale wanaofuatilia siasa ambao kwa nchi yetu sio wengi. Watanzania wengi hujihusisha zaidi na Burudani kama muziki na michezo yaani usimba na uyanga.

Hivyo hakutakuwa na impact yoyote kwa Msigwa kama atazunguka nchi nzima kwa watu wasiomjua kukisema chama cha chadema alichotoka.

Mtu mashuhuri kwa level ya kitaifa akiondoka huondoka na lundo la watu. Yaani unaona waziwazi kabisa huyu alikuwa Mtu

Mfano Slaa kuondoka kwake kuliidhoofisha Chadema, Lowasa kuliidhoofisha CCM, Zitto Naye aliidhoofisha kwa kiwango Fulani lakini sio kikubwa kama Slaa.

Hata Lisu akiondoka ataondoka na wafuasi kibao.

Msigwa labda aende Iringa jimboni kwake huko kidogo wanamjua kwa sababu ni kwao lakini akishuka mpaka Makambaku mwananchi wa kawaida ambaye hafuatilii siasa hawezi kumjua

Chadema round hii naona hawajatetemeshwa.

Hii inatoa funzo kwa vyama vya siasa kuwa visiwajenge watu kwa kiwango cha kuwa tishio kwa chama.

Upande wa CCM naona wanamjenga Makonda kuwa maarufu kuliko chama. Hii unaweza kuwasumbua baadaye

Mimi acha nilale sasa

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mchungaji Msigwa: Nitazunguka Nchi nzima kuelezea Uongo wa CHADEMA
 
Kwema Wakuu!

Wapinzani pekee ambao ni maarufu kwa level ya kitaifa ni Freeman Mbowe, Tundu Lisu, Slaa na Zito Kabwe.

Lakini waliobakia hawana umaarufu kwa level ya kitaifa labda kikanda.

Msigwa anaweza akapita pale kariakoo na watu wasimtambue.

Wanaomfahamu Msigwa ni wale wanaofuatilia siasa ambao kwa nchi yetu sio wengi.
Watanzania wengi hujihusisha zaidi na Burudani kama muziki na michezo yaani usimba na uyanga.

Hivyo hakutakuwa na impact yoyote kwa Msigwa kama atazunguka nchi nzima kwa watu wasiomjua kukisema chama cha chadema alichotoka.

Mtu mashuhuri kwa level ya kitaifa akiondoka huondoka na lundo la watu. Yaani unaona waziwazi kabisa huyu alikuwa Mtu

Mfano Slaa kuondoka kwake kuliidhoofisha Chadema,
Lowasa kuliidhoofisha CCM
Zitto Naye aliidhoofisha kwa kiwango Fulani lakini sio kikubwa kama Slaa.

Hata Lisu akiondoka ataondoka na wafuasi kibao.

Msigwa labda aende Iringa jimboni kwake huko kidogo wanamjua kwa sababu ni kwao lakini akishuka mpaka Makambaku mwananchi wa kawaida ambaye hafuatilii siasa hawezi kumjua

Chadema round hii naona hawajatetemeshwa.

Hii inatoa funzo kwa vyama vya siasa kuwa visiwajenge watu kwa kiwango cha kuwa tishio kwa chama.

Upande wa CCM naona wanamjenga Makonda kuwa maarufu kuliko chama. Hii unaweza kuwasumbua baadaye

Mimi acha nilale sasa
Anataka posho ya CCM huyo, he is an opportunity seeker
 
Back
Top Bottom