Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,683
- 4,514
Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA na sasa mwanachama wa CCM, ametupa dongo mtandaoni kwa Freeman Mbowe kufuatia kushindwa kwake katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMA.
Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Msigwa ameandika:
"Sinema ilianzia kanda ya Nyasa. Shimo alilonichimbia mimi ametumbukia mwenyewe. Mungu huwa anajibu maombi!"
Soma, Pia:
"Sinema ilianzia kanda ya Nyasa. Shimo alilonichimbia mimi ametumbukia mwenyewe. Mungu huwa anajibu maombi!"