Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
Huyu mfa maji aliwekeza siasa zake katika kumshambulia Mbowe binafsi kupunguza maumivu yake badala ya kunadi sera za Chama chake.CCM walifurahia sana mambo hayo kiasi cha kuambatana nae katika Mikutano yao kwa ajili ya kufurahisha tu wafuasi wao kwa Matusi yake kwa Mbowe.
Sasa Mbowe kaondoka CHADEMA kaingia Lissu aliyekuwa anamsifia sana,ina maana Msigwa automatically anakuwa useless?Au watampa project gani kumuokoa?
Sasa Mbowe kaondoka CHADEMA kaingia Lissu aliyekuwa anamsifia sana,ina maana Msigwa automatically anakuwa useless?Au watampa project gani kumuokoa?