Msiba wa Lowassa: Ney wa Mitego imekuaje hajarudi jukwaani kuimba na wenzake?

torosi

JF-Expert Member
Aug 12, 2020
845
1,410
Poleni kwa msiba.

Naangalia shughuli ya msiba wa Lowassa, katika hizi nyimbo. Kundi ambalo Ney yupo liianza kuimba mara ya kwanza, ilipofika kipande cha Ney na yeye akiwepo wimbo ukasto-pishwa wakatoka Jukwaani.

Wamekuja mara ya pili kipande chake kimepigwa ila Ney wa mitego hayupo jukwaani.

RIP Mzee wetu
 
Poleni kwa msiba

Naangalia shughuli ya msiba wa Lowasa, katika hizi nyimbo. Kundi ambalo Ney yupo liianza kuimba mara ya kwanza, ilipofika kipande cha Ney na yeye akiwepo wimbo ukasto-pishwa wakatoka Jukwaani

Wamekuja mara ya pili kipande chake kimepigwa ila Ney wa mitego hayupo jukwaani

RIP Mzee wetu
Ney itakuwa alimaind kuzimiwa maiki kaona isiwe shida kaimbeni wenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom