Kuna kitu nasikia wanaita salary alert.. jiunge na hiyo huduma kila mzigo ukiingia unatumiwa sms..alafu siku hizi unaweza kuaccess huduma ya benki online..si uangalie salio kwa kutumia mobile banking services mkuu? au upya ajirani hata hizi mambo hujazifahamu na ndo hata akaunti ya benki ndo unaanza kufungua sasa