Mshahara pamoja na makato kwa Mwalimu mwenye Degree

Naomba kujua kwa mwalimu mwenye degee anapoanza kazi mshahara wake ni Tsh ngapi na makato ni kiasi gani na take home inakua ni Tsh ngapi?
Screenshot_20230606-125554_1.jpg

Nahiyo ni CHAKUHAWATA ukiwa CWT tegemea kukombwa pesa ya maana wanaharamu nyie
 
Mpwayungu Village walimu walikufanya nini?
kuna dogo flani nilimuuliza unataka kuja kuwa nani akanambia anataka kuwa mwalimu, nilicheka sana. Matokeo ya 4m4 yametoka kala zero safi kbsa, naona Mungu kamuepusha na laana mapema.
Watu kama nyie unakuta mna shida hadi mindukuni!ila mnavyojishaua sasa.hivi mwl wa daraja F au H unakunja bei gani unazani.tatizo mnataka utajiri wa haraka haraka kwa virushwa vya kipumbavu na vinaishia baa halafu mnajiona wajanjaa!
 
Malofer haya yanajiendea tu kama gari bovu
Acha kumkatisha tamaa,familia nzima inaenda kupona hapo.
Cha msingi asiingie cwt,ajiunge chakuhawata aokoe pesa kiasi.
Ajira ya ualimu imebeba zaidi ya watumishi laki mbili,nyuma ya kila mtumishi kuna wategemezi zaidi ya kumi.
Hivyo ni idadi kubwa ya watanzania wanaenda kufaidika kupitia wachache.Kuhusu ugumu wa maisha kila mtu ashinde mechi zake
 
Watu kama nyie unakuta mna shida hadi mindukuni!ila mnavyojishaua sasa.hivi mwl wa daraja F au H unakunja bei gani unazani.tatizo mnataka utajiri wa haraka haraka kwa virushwa vya kipumbavu na vinaishia baa halafu mnajiona wajanjaa!
Mtu akiwa nje ya box,hasira na chuki zinakuw nyingi sabab hajapata chance.Naishi nao walimu wanamaisha mazuri sana ,mishahara+kujiingiza kwenye business most of them wana drive tena sio cheap
 
Back
Top Bottom