BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 367
- 434
Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Mobhare Matinyi leo Jumapili Mei 26, 2024 atazungumza na Waandishi wa Habari kufikisha ujumbe kwa Taifa kuhusu masuala mbalimbali. Ni kuanzia 7:30 mchana kwenye Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Arusha. Usikose kufuatilia kupitia Televisheni mbalimbali kujua masuala mbalimbali ya Taifa.
PIA, SOMA:
- Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi: Kaya 1,373 zenye Watu 8,364 zimeshahama Ngorongoro kufikia Aprili 2024
PIA, SOMA:
- Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi: Kaya 1,373 zenye Watu 8,364 zimeshahama Ngorongoro kufikia Aprili 2024