singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Priorities.... The biggest problemKila siku najiuliza hili
hili daraja na gharama zake....ni sawa?
bilioni zaidi ya 200 kuunganisha vitongoji vyenye wakazi chini ya laki tano?
Tungeweka pantoni za bilioni 7 tatu isingekidhi?
Nyani Ngabu Dark City Nguruvi3 ....
Mkuu umeona mbali sna hata Pantoni sita 6 kwa gharama ya bilioni 20 zingekidhi haja mpaka pomoni.Kila siku najiuliza hili
hili daraja na gharama zake....ni sawa?
bilioni zaidi ya 200 kuunganisha vitongoji vyenye wakazi chini ya laki tano?
Tungeweka pantoni za bilioni 7 tatu isingekidhi?
Nyani Ngabu Dark City Nguruvi3 ....
You have a point. Nilikua na ongea na mtu Jana kuhusu ishu hii hiiKila siku najiuliza hili
hili daraja na gharama zake....ni sawa?
bilioni zaidi ya 200 kuunganisha vitongoji vyenye wakazi chini ya laki tano?
Tungeweka pantoni za bilioni 7 tatu isingekidhi?
Nyani Ngabu Dark City Nguruvi3 ....
Ni kweli kabisa hata MV Dsm ni matendo yakeMagufuli huwa anaongea kwa vitendo, yeye hufanya kitu kinachoonekana halafu anawaachia watu waanzishe mijadala miiingi. Hongera Ngosha, na bado yanakuja mambo meeeengi ya akili. Ukizingatia baraza lote la mawaziri ni madoctor na maprofesa.
ukawalism at work.....kwa io baada ya miaka 20 mbeleni unadhani ilo daraja litasave population ya watu wangapi,think BIGKila siku najiuliza hili
hili daraja na gharama zake....ni sawa?
bilioni zaidi ya 200 kuunganisha vitongoji vyenye wakazi chini ya laki tano?
Tungeweka pantoni za bilioni 7 tatu isingekidhi?
Nyani Ngabu Dark City Nguruvi3 ....
Kuna jamaa pale Navy wanakaribia kugraduate kozi ya upakaji rangi wa vyombo vya majini. Watu wa Bagamoyo bado tunamkumbuka mheshimiwa alivyoipokea kwa mbwembwe hii makitu pale bandarini huku akituahidi kero ya mafoleni kwetu itakuwa historia. Badala ya kuwa historia sasa imekuwa makumbusho.Ni kweli kabisa hata MV Dsm ni matendo yake
Kama unataka ukuu wa Wilaya au Mkoa penyeza CV yako kwa Dr. JPM .Ndugu wa Jf
Wakati wa uchaguzi kulikuwa na mchuano mkali baina ya Dk. Magufuli wa ccm na Lowassa wa Ukawa, siku moja nilitoka zangu huku Kwetu kiteto amabayo tangia uhuru ilikuwa haijawahi kupata lami lakini tulipata lami wakati Dk. Magufuli akiwa waziri wa miundombinu.
Nilipokuja Dar kwa safari ya kuwaona ndugu na jamaa nilitembelea Daraja la Kigamboni baada ya kuliona tu nikakakumbuka kuwa lilikuwa chini ya wizara ya Miundombinu amabayo ilikuwa chini ya Magufuli nikaona huyu ni mtu sahihi wa kupata kura yangu nikimlinganisha na Lowassa ambaye licha kuwa serikali zaidi miaka 30 lakini sijakiona cha maana alichosimamia na kukamilia.
Namshukuru Mungu sijapoteza kura yangu, ilikwenda kwa mtu sahihi,
Imeelezwa kuwa daraja hili lililoanza kujengwa mwaka 2012 kwa Ushirikiano wa Mfuko wa NSSF na Kampuni za China, linatarajiwa kukamilika ujenzi wake mwaka huu. Daraja lina urefu wa mlalo wa kadirio la kilomita 2 likiunganisha Kurasini na Kigamboni.
Bado una tongotongo za Kibaya,Kiteto.
Unadhani wazo,design,funding,na implementation Ni ya Makufuli?
Think again
Bora umpe sifa Dr Ramadhan Dau
kwani hilo daraja ni kwa ajili ya wakazi wa kigamboni peke yao? hivi ile foleni kuanzia saa moja asubuhi pale feri kwenda kigamboni ni wakazi wa kigamboni wanarudi makwao asubuhi? hizo pantoni saba ungeorodhesha na ujenzi wa gati saba,baada ya miaka kadhaa tena uongeze nyingine saba. ushawahi kukaa ndani ya pantoni wakati mnasubiri meli ipite? mkuu hilo daraja litasaidia sana.Kila siku najiuliza hili
hili daraja na gharama zake....ni sawa?
bilioni zaidi ya 200 kuunganisha vitongoji vyenye wakazi chini ya laki tano?
Tungeweka pantoni za bilioni 7 tatu isingekidhi?
Nyani Ngabu Dark City Nguruvi3 ....