BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,322
Msanii wa muziki na muigizaji mkubwa Holywood Will Smith wako nchini Tanzania pamoja na familia yake. Wanatembelea mbuga ya Serengeti. Will Smith anaonekana akifurahia mandhari ya mbuga ya Serengeti.
Kwa muigizaji anayefuatwa na watu zaidi ya milioni 40, je Wizara husika chini ya Mheshimiwa Kigwangala je mnatumia vipi hii nafasi adhimu kukuza utalii wa nchi ? Maana wenzetu Kenya huwa hawachelewi kwa vitu kama hivi, na si ajabu wakasema Serengeti ipo kenya tumeshapata cases kama hizi huko nyuma, tu refer pia wimbo wa Beyonce ambao video imekua shooted katika mbuga iliyoko Tanzania, na mlima ukaoneshwa wa Kilimanjaro,...all in all Will Smith ameweka clearly kwamba yupo Tanzania, hio ndio pona yetu, but hizi fursa tunazitumiaje?
Na pia kama ni muigizaji mkubwa nchini Marekani, je tasnia ya filamu chini ya Mhe Mwakyembe nchini mnatumia vipi nafasi kama hizi pindi zinapotokea kwa watu mashuhuri kama hawa wanapokuja nchini haswa kwenye vivutio vyetu vya kitalii