4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 7,434
- 8,655
Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,
Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka pale mpaka watakapo rusiwa kuingia,
Swali Ngolongolo imekua sehemu nchi ndani ya chini mpaka kuzuia Makam kutorusiwa kwenda onana na wananchi wa Ngorongoro?
Serikali tupe majibu
Tundu Lissu na wananchi wamekaa katikati ya barabara ya kuelekea Karatu hadi watakaporuhusiwa kuingia Ngorongoro. Tundu Lissu amesisitiza, Ngorongoro siyo gerezani na Maasai siyo watumwa.