Asante kkSio germs, ni gems
ALFAGEMS SECONDARY SCHOOL (S.3874)
S.L.P. 6083 – MOROGORO
Tel. 0765-899959 / 0713-784600
www.alfagems.com
Kumbe wewe ni Kaka....tehe tehe...sasa ndiyo nini kutudanganyaWatoto wa siku hizi mna akili. Form 5 unajitaftia shule?
Asante kwa kushukuru kaka
Hapana Mkuu huyo ni demuKumbe wewe ni Kaka....tehe tehe...sasa ndiyo nini kutudanganya
Kumbe wewe ni Kaka....tehe tehe...sasa ndiyo nini kutudanganya
Hapana Mkuu huyo ni demu
wapi wewee! jifunze kuweka avater kulingana na jinsia yako.Nitake radhi aisee. Mi sio demu
wapi wewee! jifunze kuweka avater kulingana na jinsia yako.
au SoRRy.. huenda labda ndo biashara matangazo.
SEMA USIKIKE....:evil: :evil: :evil: