MSAADA.

WPM

Member
Sep 5, 2016
19
10
Ninaomba kufahamishwa jinsi ya kuroot simu aina ya Tecno C9 maana kwa njia ninazozifahamu na zile ambazo nimewai ona thread zake hapa nimeshindwa kuzitumia hadi nifanikiwe katika hili.

Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…