Ingia gmail kwenye PC click profile picha yako ambayo iko kulia juu kabisa, click My Account, click Device activity & notifications, utaona list ya Recently used devices, click review devices, click device unayotaka kuiondoa , click REMOVE.
Pia nakushauri ubadili password zote zikiwemo za service nyingine lizotumia gmail kujiandikisha.