Msaada: Xperia

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,133
280
Naomba msaada wa namna ya kuifanya Memory Card iwe internal memory. Nimebaini kuwa simu yangu (Xperia) ina internal storage ndogo (1.82GB). Cha kushangaza kuna sehemu imeandikwa total space 16.00GB. Nikijaribu kudownload kitu kutoka Google store/play, inaniambia space is not enough. Msaada tafadhali!
 
Daah...afadhari mkuu..na mimi natatizo.. experia s lt26i tatizo battery kama kuna m2 anjua zinakopatikana 2wacliane
 

Kiongozi umepigwa,kuna kila dalili za kwamba simu yako itakuwa CLONE,pole
 

Machina huyo, ni xperia gani hiyo.
 
Kiongozi umepigwa,kuna kila dalili za kwamba simu yako itakuwa CLONE,pole
Hhahahahaha mchina wa Kariakoo huyo, akitaka aamini awe mpole watamuonyesha jinsi wanavyofanya, jamaa walinifundisha but nimesahau. wanakuuliza kabisa unataka 32 au 16gb hahahhahaaa wanaandika faster wanakuonyesha
 
Nina shaka hapo, nishakuwa na Xperia T na LG G2 za 16GB, sikuwahi kuijaza na ilikuwa na zaidi ya 10GB free.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…