MR UNINFORMED
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,067
- 1,204
Nenda soko la Hisa la Dar es salaam,kanunue hisa za kampuni yoyote inayofanya vizuri sokoni usubiri gawio lako.Ni ushauri tu kulingana na nature ya kazi yako.Biashara inataka mud wa kuisimamia,utaajiri vijana wa kitanzania wenyewe wavivu mwisho utalamba za uso.Wadau...nawaomba msaada wa wazo la biashara. Nina 20 million cash kwa account.
Mie ni mfanyakazi...kazi yangu inanibana sana...lakin nafanya kazi kwa siku 5 kwa wiki...na mara nyingine kusafir kwa muda mrefu mikoani. Sina idea na mambo ya biashara lakin nataman kufanya biashara ili kuongeza kipato.
Kwa mazingira hayo nliyoelezea hapo juu...kwa maoni yako..unadhan biashara gan inaweza kunifaaa....nashukuru kwa maoni yako ....! Karibuni!
Kama hutajali unaweza kunitafuta kwenye WhatsApp +255685517773.Naweza kukupatia mawazo kadhaa then uchague la kufanyia kaziWadau...nawaomba msaada wa wazo la biashara. Nina 20 million cash kwa account.
Mie ni mfanyakazi...kazi yangu inanibana sana...lakin nafanya kazi kwa siku 5 kwa wiki...na mara nyingine kusafir kwa muda mrefu mikoani. Sina idea na mambo ya biashara lakin nataman kufanya biashara ili kuongeza kipato.
Kwa mazingira hayo nliyoelezea hapo juu...kwa maoni yako..unadhan biashara gan inaweza kunifaaa....nashukuru kwa maoni yako ....! Karibuni!
Nenda soko la Hisa la Dar es salaam,kanunue hisa za kampuni yoyote inayofanya vizuri sokoni usubiri gawio lako.Ni ushauri tu kulingana na nature ya kazi yako.Biashara inataka mud wa kuisimamia,utaajiri vijana wa kitanzania wenyewe wavivu mwisho utalamba za uso.
Mimi kwangu dill na uaindikaji wa unga. Nunua mashine mbili ya kukoboa na kusaga 2.8mil. Motor hp40 mbili 3mil starter mbilli laki 8. Umeme 2mil. Tafuta frem mbili lipa miezi sita kwanza letsay 2mil. Tengeza nembo sajili,kampun. Mpaka hapo usizid milion kumi. Inayobaki nunua mahindi anza kusaga na kupack. Soko lipo kubwa sana dar. Unga jumla unauzwa 23000. Mahind jumla 550 ya kibaigwa ya songea usijaribu yanatoa unga kidogo. Kwani tone kumi wastan wa faida ni kuanzia laki sita mpk milion bila pumba. Pumba faida ni wastan wa laki mbili. Kwa siku ukiwa na mahindi na machine nzur unaweza koboa na kusaga wastan wa tan ishirin mpk thelathin. Kwa mwez ukifanya kazi vizur hoping hutakosa milion tano faida na kuendelea.
Wadau...nawaomba msaada wa wazo la biashara. Nina 20 million cash kwa account.
Mie ni mfanyakazi...kazi yangu inanibana sana...lakin nafanya kazi kwa siku 5 kwa wiki...na mara nyingine kusafir kwa muda mrefu mikoani. Sina idea na mambo ya biashara lakin nataman kufanya biashara ili kuongeza kipato.
Kwa mazingira hayo nliyoelezea hapo juu...kwa maoni yako..unadhan biashara gan inaweza kunifaaa....nashukuru kwa maoni yako ....! Karibuni!
Kwa faida ya wengine pia hili suala la mawazo ya biashara naona linakua kwa kasi sana na hii siwalaumu sana wanaoomba mawazo ila hakuna mfumo mzuri wa kutoa elimu ya biashara kwa wale ambao watahitaji kufanya biashara, Wazo la biashara huwa sio kitu cha kuomba upewe na mtu mwingine ila liboreshwe na mtu mwingine na hakuna mtu asiekuwa na wazo la biashara,kila mtu anawazo lake la biashara lakini aidha unaliogopa au unaliona ni kubwa kulifanya, nitatoa sababu kwanini sio sahihi kuomba wazo la biashara ila kuomba liboreshwe.
1. Kila mtu anamawazo yake na kila mtu ananjia zake za kufanikiwa hivyo iwapo utaomba wazo mtu atakupa wazo ambalo aliliwaza kwake litamfanikisha au ni wazo ambalo analiona litafanya kazi kwake, lakini sio kwaajili yako ni yake atakwambia anachowaza kitaweza kufanya kazi kwake hivyo mfano: ukisema una milioni 20 na unatafuta wazo la biashara. Ataiweka katika mipango yake na uwezeshaji wake ikitosha atawambia lakini ni tofauti kwako.. wewe ukisema milioni 20 unategemea fresh idea na ambayo itakuwa na watu ambao wanajulikana ili kufanya nao kazi lakini kiuhalisia unapoanza ni lazima uanze kidogo kidogo na kutafuta sehemu ambazo gharama ni nafuu ili kupunguza gharama za kurasmisha hivyo mpaka hapo itakuwa iko tofauti sana na wewe japo linaweza kuwa wazo zuri lakini sio la kwako, la kwako unalo kichwani aidha unaliogopa au unalidharau.
Kaa chini jisikilize fuata taratibu za jinsi ya kupata wazo la biashara kisha anza kulifanyia kazi,usitafute pesa kwanza ndio ufikirie wazo la biashara, pata wazo kwanza halafu pesa itakuja kujaza kulingana na wazo lako na uhitaji, mfano unasema una milioni 20 ukapata wazo la kufungua biashara kariakoo frem ni mil 3 - 7 kwa mwaka, kuitengeneza iwe kama unavyotaka milioni 2 - 5, kununua biashara yenyewe milioni 5 - 15, kulipia ada mbali mbali?kumlip wa kukusaidi kazi?,Bado biashara haijaingiza hasara? mwanzo biashara huwa hailipi ila unailipa,utajikuta umepoteza kila kitu. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na jinsi ya kupata wazo la biashara na ujasiriamali tembelea elishachuma.blogspot.com au humu humu JF kwa jina la Elisha Chuma utapata elimu itakayokupa mwanga wakuanzia.