hapa maisha yapo juu tofauti na nyumban,nyumba unapata kuanzia 250usd na kuendelea usafiri kwa daladala kituo hadi kituo ni 1dola,kuhusu madem bei imechangamka kidogo,bei ya bia iko chini kuliko maji ya kunywa,changamoto nyingine ni shida ya maji hasa kwa hapa luanda,ila huko quando kubango,uige,zaire,moxicu,cuanza norte na sud,bengela na namibe kuna unafuu upatikanaji wa maji,kitu kingine shida ni lugha kinatumika kireno na kifaransa kidogo