Msaada wakuu, SHIHATA ilikuwa ni nini?

dtj

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
1,332
1,375
Wakuu, nina maono ya kufungua news agency yangu sasa nataka kujua hii SHIHATA ni nini? na ilikua chini ya nani? Pia naskia MENGI yani ITV walikua na news agency yao, imekuaje ikafa?! Tililika hapa.....
 
SHIHATA lilikuwa Shirika la Habari Tanzania ambako Ben Mkapa aliwahi kuwa bosi wake.
 
SHIHATA lilikuwa Shirika la Habari Tanzania ambako Ben Mkapa aliwahi kuwa bosi wake.

Mkuu, kama una makaratasi ya hii SHIHATA natikiwa kuisoma maana naskia ilikua ya serikali sasa izo pitfalls zake ndio muhimu sana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…