Introver
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 522
- 587
Salam wakuu
Nilikuwa natafuta game la PES 19 offline kwa simu za Android nimejaribu Kusearch Google lakini ninayokutana nayo ni ya online, kwa ambae analo la offline naomba.
Sent using Jamii Forums mobile app