Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,213
- 4,328
Habar wakuu?
leo nimeamka asubuh natak kuperiz mtandaoni nashangaa meingiza modem kwa PC inakataa kusoma mejarbu mara kibao,hat nikifanya dial up inagoma pia.inaandika hivi pc kuwa error connecting to broadband connection,Error 651:the modem has reported an error.nimeshindwa kufaham tatizo naomba mnisaidieni wakuu hii shida nasolve vp?
natumia modem y huawei ambayo ni ya airtel universal.