Habari wanajamvi nataka kununua mashine ya mbao inaitwa ( lumber pro 48",) imetengenezwa na cleereman industries. Lakini tangu mwezi jana nimetafta njia yeyote imeshindikana na e mail hazijawahi kujibiwa. Kwa yeyote anaweza nisaidia tafadhari naomba tusaidiane katika hili.
Mashine kama hiyo nime iatach
Phone; +255768181757
E-mail; luwumba2013@gmail.com