Msaada: Wadau mahusiano hewa siyawezi sasa basi

wambagusta

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
2,825
2,291
Kila mwanamke nitakayekuwa naye kwa mahusiano ya mapenzi ni majanga! Au awaniami
wakwanza anapenda pesa yangu na hanakuja geto lakini nikitaka kuduu naye anasema yupo kwenye siku zake nikahachana nae siwezi mzingatia mtu ambaye hajali shida zangu

Wapili pesa zangu anapenda stori zangu anapenda kwenda kwao nikamcheki anapenda kwa sababu namuhachiaga pesa lakini yeye kuja kwangu ataki nikimlazimisha anakuja saa 10 jioni anakaa kama nusu saa hivi anasema naenda kupika nikimshika hataki naye nimeamua nipige chini kwa sababu sioni faida kwake.

Watatu huyu nataka sitaki mara aniteme baadae ananitafuta akija geto ataki niduu naye mpaka nimpereke homu. swali nikimuhuliza hao wazamani ambao ulikuwa nao walikupeleka homu kwao anijibu anahangalia chini hapo ukimsindikiza kurudi kwao humpe pesa kuanzia 5000 nauli. kama ujampa anakuchunia.

Wanne aji homu mpaka umuhaidi kitu na kama akija anakuja na mwezie sometime najiuliza sipati jibu na angalia juu nashukuru !
wadau mnivumilie kiswahili sijui kuandika vizuri mie ni mwenyeji wa mtwara kule mtamba swala hiyo ni boda ya tanzania na msumbiji nusu ya ndugu zangu wapo msumbiji na Tanzania. yaani baba na mama ni nchi mbili tofauti
 
Last edited:
kama unataka mpenzi wa kweli, usimtafute, mapenzi sio kazi jombaa
 
Wengine nyuchi tunafanya kuzikataa wengine zinawakimbia.

Aisee kweli haya ndo maisha
 
Haki ya mama kwa uandishi huo bora uwe unaenda Kona baa.
Uandishi una uhusiano sana na uwezo wa mtu wa kufikiri.
hamna mdau kiswahili changu cha kuandika kinasumbua mahana mie kwetu mtwara sehemu inayoitwa mtamba swala ni boda na msumbiji hivyo naomba univumilie na kusoma sikupata bahati ya kusoma
 
Jirani yako chumba cha uwani ndio amekuroga kwa kuwa ulimtongoza mke wake. Tafuta suluhisho mapema, ukichelewa utaanza kutafunwa wewe. Chukua tahadhari kijana.
 
hamna mdau kiswahili changu cha kuandika kinasumbua mahana mie kwetu mtwara sehemu inayoitwa mtamba swala ni boda na msumbiji hivyo naomba univumilie na kusoma sikupata bahati ya kusoma
Kwetu Mtwara sehemu inayoitwa mtamba swala ni boda na msumbiji hivyo..nimekuelewa.
 
Chondechonde usibake mzee wa nchale.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…