Msaada wa vitabu na mawazo kwa Beginner wa Windows server

bro kay

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
254
222
Habarini wakuu.

Mungu akijaalia around this time mwakani nina mpango wa kufanya certificate ya MICROSOFT CERTIFIED SOLUTIONS ASSOCIATE (MCSA).

Hivyo nataka niaze taratibu kujua A B C's za windows server, hivyo naomba kwa mwenye ujuzi wa mambo anisaidie kunipa recomended book nisome some ili ntavoaza hiyo course nisiwe mweupe kabsa.

Kama hutojali pia kunishaur nisome ipi kati ya WINDOWS SERVER 2003, 2008, 2012, 2012R2, au the latest one 2016.

Natanguliza shukrani za dhati kabisa.

Ahsanten
 
I am also looking for MCSA Win Server 2016 books. 70-740, 70-741 and 70-742! Kama unazo I'm will to pay..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…