Msaada wa tiba mbadala ya Cancer ya Ini

Korintoboy

Member
Jan 5, 2015
29
20
Wakuu nawasalimu wote.

Bila kuwachosha niende kwenye mada iliyonifanya kuhitaji msaada wa mawazo yenu.

Ni kwamba nimegundulika nina cancer ya ini iliyosababishwa na hepatitis B na hapa nilipo ninaendelea na dawa aina ya Sorafenib.

Cancer hii imeshasambaa kwenye lymph nodes kwa yoyote anayejua tiba mbadala naomba anisaidie.

Nakaribisha pia ushauri na mawazo mbalimbali.

Nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…