Msaada wa tatizo la PC

DreezyD98

JF-Expert Member
Nov 6, 2020
1,609
2,869
Ninaomba anayejua jinsi ya kufix tatizo hili kwenye PC anisaidie.

Nimejaribu kuupdate graphics.

Nimeinstall window mpya lakini tatizo bado lipo.

kuna muda huwa screen inakuwa sawa.
Kuna muda screen inazingua kama hivyo.

Chief-Mkwawa

Ninatanguliza shukrani
20230819_194603.jpg

Nimeambatanisha picha hapa
20230819_194603.jpg
 
Hilo tatizo mbona kama ni physically damage na sio software errors?

Jaribu kuitumia kama monitor chukua PC nyingine kisha chomeka VGA cable kwenye PC yako uone kama ita display
 
Hilo tatizo mbona kama ni physically damage na sio software errors?

Jaribu kuitumia kama monitor chukua PC nyingine kisha chomeka VGA cable kwenye PC yako uone kama ita display
Sawa mkuu ngoja nijaribu
 
jarbu kubadilisha kioo kama tatzo bado litakuwa lile lile pc ina shida upande wa graphics card
nilikutana na yenye shida upande wa graphics cardina similar symptoms nichek kwa 0625162255
 
Back
Top Bottom