Msaada wa taratibu za jinsi ya kupata visa

Camp Lehigh

JF-Expert Member
Nov 20, 2018
335
612
Habari za muda, naombeni maelekezo ya jinsi ya kuafutatilia na kupata Visa.
-Je niwe na Documents zipi?
-Naweza kupata kwa kupitia online? Link ni ipi? Au ni kwenda Ubalozini?
-Niwe na kiasi gani ajili ya Visa (ya mwaka tu)?

Binafsi nipo mkoani, so kiujumla ningependa kujuzwa taratibu na mambo ya kufuata ili kupata visa ya kwenda sehemu yoyote.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom