Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,536
- 2,187
Mkuu mm nahitaji kutumia Monitor ya computer kama tv je nitumie kifaa gani ili niweze conect na King'amuzi na kucheki chanel kama tv? naomba msaada mkuusimu za hdmi siku hizi ni chache. simu za zamani ndio zilikuwa na hdmi.
unaweza tumia micro usb to hdmi adapter ila bei zake zinakuwa kubwa kidogo.
tv yako ina miracast au dnla au widi au connection yoyote ya wireless? kama huna uhakika unaweza kuipost aina yake hapa full nitakuangalizia. kwa miracast utaweza kuunganisha tv na simu kwa bila waya.
pia kama tv haina zipo dongle za bei rahisi zinazoweza kuipa tv uwezo huo.
tafuta simu ya miracast na tv ya niracast au tv ya kawaida na dongle ya miracast then utaenjoy.
alternative nunua desktop au android tv box zote hizi zinapatikana chini ya laki 2 then tumia hizo na tv kama monitor then play live tv.
monitor ina hdmi port?Mkuu mm nahitaji kutumia Monitor ya computer kama tv je nitumie kifaa gani ili niweze conect na King'amuzi na kucheki chanel kama tv? naomba msaada mkuu
Mkuu vipi tv za samsung mi nina samsung 32 inch ya mwaka 2014simu za hdmi siku hizi ni chache. simu za zamani ndio zilikuwa na hdmi.
unaweza tumia micro usb to hdmi adapter ila bei zake zinakuwa kubwa kidogo.
tv yako ina miracast au dnla au widi au connection yoyote ya wireless? kama huna uhakika unaweza kuipost aina yake hapa full nitakuangalizia. kwa miracast utaweza kuunganisha tv na simu kwa bila waya.
pia kama tv haina zipo dongle za bei rahisi zinazoweza kuipa tv uwezo huo.
tafuta simu ya miracast na tv ya niracast au tv ya kawaida na dongle ya miracast then utaenjoy.
alternative nunua desktop au android tv box zote hizi zinapatikana chini ya laki 2 then tumia hizo na tv kama monitor then play live tv.
nimeicheki haina@Chief-Mkwawa yangu ni 32 H4000 series 4 hd led
nunua nokia n8 itakufaa bei 450,000/=Kama kichwa cha Habari kinavyosema, naomba kufahamishwa ninunue Simu IPI yenye port ya HDMI ambayo nawe za kuiunga kwenye Tv Na kula Mpira live.
Pia naomba bei yake kwa sasa dukani
Natumai nimeeleweka
Ndiyo mkuumonitor ina hdmi port?
nunua waya wa hdmi chomeka toka king'amuzi hadi monitorNdiyo mkuu
nunua nokia n8 itakufaa bei 450,000/=
simu za hdmi siku hizi ni chache. simu za zamani ndio zilikuwa na hdmi.
unaweza tumia micro usb to hdmi adapter ila bei zake zinakuwa kubwa kidogo.
tv yako ina miracast au dnla au widi au connection yoyote ya wireless? kama huna uhakika unaweza kuipost aina yake hapa full nitakuangalizia. kwa miracast utaweza kuunganisha tv na simu kwa bila waya.
pia kama tv haina zipo dongle za bei rahisi zinazoweza kuipa tv uwezo huo.
tafuta simu ya miracast na tv ya niracast au tv ya kawaida na dongle ya miracast then utaenjoy.
alternative nunua desktop au android tv box zote hizi zinapatikana chini ya laki 2 then tumia hizo na tv kama monitor then play live tv.
M
Mkuu nimekusoma ila kesho nitaipiga picha nikutumie
Nashukuru mkuu ngoja niufuatilienunua waya wa hdmi chomeka toka king'amuzi hadi monitor
Samsung series 4, inch 32picha haitanisaidia nataka kujua aina