Wakuu na shida moja kubwa sana.kama kuna mtu ni mfanyakazi mkubwa wa TAMISEMI or anafahamiana na mfanyakazi yoyote mkubwa TAMISEMI naomba ani Pm.thanks sana in advance
Wakuu na shida moja kubwa sana.kama kuna mtu ni mfanyakazi mkubwa wa TAMISEMI or anafahamiana na mfanyakazi yoyote mkubwa TAMISEMI naomba ani Pm.thanks sana in advance
ki maadili nadhani haijakaa vizuri, huwezi kupewa namba ya mtumishi, nenda ofisi za tamisemi kaeleze shida yako kama ni yakibinafsi vinginevyo unavyotaka kufanya ni rushwa...kama ni malalamiko yaweke hapa na jina la muhusika watalifanyia kazi ..... kama mimi nilipata msaada kwa kuandika malalamiko ya afisa utumishi wilaya fulani nilipigiwa simu na mkurugenzi akalifanyia kazi