Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,371
- 4,848
Ndugu zangu habari zenu,ninahitaji msaada wa fundi alieko mkoa wa mbeya au kijana yeyote alieko mbeya mwenye uelewa wa kuweka custom rom mbalimbali kwa simu.
Ndugu yangu ana simu aina ya redmi note 9pro 5g chinese version sasa now kumekua na ban ya matumiz ya google services kwa chinese version, hivyo basi mwenye uelewa wa kuweza kuifanya hio kazi hapa kwa uhakika pasipo kubahatisha aifanye hii kazi ili kuondoa kadhia anayokutana nayo ndugu yangu.
Aliena uelewa au anayemjua mtu anayefaham kazi hio tafadhali ajib hapa tujue tunalifanyaje hilo zoezi