Msaada wa mawazo, shemeji kaniachia mtoto wa miezi 10

aida sanga

Member
Jun 3, 2016
63
21
Jamani wana JF,naombeni msaada wenu.

Kuna shemeji yangu ana mtoto wa miezi 10, sasa mke wake kapata kibarua sehemu flani,kaniomba nishinde na mtoto wake siku mbili mi nikakubali,na mimi na mtoto wangu wa miezi 11 nakuwa nao wote.

Sasa shida inakuja hivi kaniomba nishinde naye siku 5 tena sasa mimi nikawa na mishe ndani ya siku mbili,nikamwambia sitakuwepo siku 2,basi mume wangu alivyoambiwa hivyo karudi kaanza nitamkia ninaroho mbaya siwezi ishi na ndugu zake maneno kibao.

Mwisho kabisa kaniambia niondoke nikiendelea kubaki atanifanya kitu kibaya na ilikuwa ni usiku wa saa 5, embu jamani nisaidieni nifanyaje mwenzenu.

Na nina mtoto mdogo hata mwaka bado
 
duh!!! kwanza hapo mwenye roho mbaya huyo mke wa shemeji yako...wewe mtoto wa miezi kumi umuache siku tano na mwanamke mwengine kisa kibarua....mijanamke mingine ovyo kabisa. ukitaka kuwa mama basi jiandae vilivyo.
asikuzingue huyo mume wako wewe kaa hapo hapo na wacha akudhuru...mpeleke polisi. ujinga wa ndugu zake iwe kero kwako wewe kisa kakutolea mahari
 
Kumbe ndoa yako unaipenda?
Ww si ulikuwa unamtamani mdogo wa mume wako. Ilifikia wapi?
Dada ndoa si lelema km unampenda mumeo hebu msikilize.
Ila ukiendeleza tamaa ya kumtaman mdogo wa mume wako siku akikifumania atakuua au kukupiga sana. Usije ukathubutu kufanya hivyo km anathubutu kukufukuza saa 5 usiku je, siku akikifumania?
 


Khaaaaa jamani muwe mnasoma thread vizuri mbona kauliza jengine na wewe unajibu jengine, asalale acha umasikini wa fikra ndg
 
Nishaur ili la jana lishapita
 
Khaaaaa jamani muwe mnasoma thread vizuri mbona kauliza jengine na wewe unajibu jengine, asalale acha umasikini wa fikra ndg
nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri nadhani ww ni mzee wa kukurupuka. Ndio tatizo la kutumia vifurushi vya kuunga unga. Unalog in leo unakaa mwez 1 una log in tena. Nafikiri ungekuwa na akili timamu wala usingenikurupukia mm ungetoa kwanza ushauri kwa muhusika halafu ndio unijibu mm.
ukikuta wakubwa wanaongea wala usikurupuke sikiliza kwanza. Sawa mdogo wangu.
Ulisoma thread yake iliyopita? Nakuuliza ww hapo?
 
Nishaur ili la jana lishapita
ok!
Kaa na mumeo wala usioneshe hali ya kubishana na mumeo. Mueleze A-Z juu ya mishe mishe zako. Najua kosa ulilolifanya ni kumkataa kumpokea ndicho mumeo alichokasirikia. Na pia ongea na baba wa mtoto kuwa nitakulelea mtoto kwa 3, na hizo siku 2 tutampa mtu akulele na maanisha kuwa ktk hizo siku 5, siku 1, 2 utamlea, siku 3,4 ww utatafuta msichana wa kumlea ila malipo juu yake na siku ya 5 ambayo utakuwa umemaliza mishe zako utaendelea na majukumu ya kumlea mtoto. Nimeguess tu siku za mishe zako, sijui lkn fuata mfano huo.
Watakuelewa tu ila ni vizuri ungemtafuta mtu ambaye baba watoto wako anamuheshimu ili mliongelee vizuri
 
Mtoto wa rafk wa mume wang na ana mke wake
 
Mwambie atafte housgl habar y kukuchosha cvyo utaleaje wachanga kw mpigo alaf mwenzio aendelee kuonekana bint.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…