Ukihitaji mbegu za maboga zipoHabari zenu Wana JF ...nashida na mawasiliano ya wafanyabiasha ra wa nafaka Aina mbali mbali ikiwemo mchele,karanga,mbegu za maboga,ulezi, na n.k wawe na bei rafiki ili nami niweze kufanya biashara ...Asanteni
Nipo boma nauza mchele tunaweza wasiliana zaidi nakuwekea namba pmNiko Mkoa wa Arusha ...
Mkuu tupo Inyonga na Maji moto Mpanda kwa biashara ya Karanga na Mchele tuwasiliane,msimu ndo unaenda kuanzaHabari zenu Wana JF ...nashida na mawasiliano ya wafanyabiasha ra wa nafaka Aina mbali mbali ikiwemo mchele,karanga,mbegu za maboga,ulezi, na n.k wawe na bei rafiki ili nami niweze kufanya biashara ...Asanteni
Mwanza zinafikaje Karanga kaka.Mkuu tupo Inyonga na Maji moto Mpanda kwa biashara ya Karanga na Mchele tuwasiliane,msimu ndo unaenda kuanza
Contacts 0756-654525
Kuna semi/maroli yanakwenda mwanza kila siku!Mwanza zinafikaje Karanga kaka.
Hayupo serious kabisa. Sms hajibu na mtandaoni anachuna sijui ni dalali huyu?Mwanza zinafikaje Karanga kaka.