Msaada wa machimbo ya jeans bei ya jumla

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
810
713
Habari wa JF.

Kama title inavyojieleza hapo juu nahitaji chimbo ya jeans kkoo kwa bei ya jumla, kuna jamaa niliongea nae leo tuonane kkoo anipeleke matokeo yake hapokei simu ko nimeenda nimerudi empty.
 
Unataka jinzi za aina gani mkuu denim au unategemea kuuza kias gan?

Uliwahi kusikia sehem inaitwa
IMG-20241031-WA0125.jpeg
Wabishi underground?
IMG-20241031-WA0129.jpeg
 
Attachments

  • IMG-20241031-WA0107.jpeg
    IMG-20241031-WA0107.jpeg
    564.8 KB · Views: 5
  • IMG-20241031-WA0103.jpeg
    IMG-20241031-WA0103.jpeg
    692.1 KB · Views: 6
Habari wa JF.

Kama title inavyojieleza hapo juu nahitaji chimbo ya jeans kkoo kwa bei ya jumla, kuna jamaa niliongea nae leo tuonane kkoo anipeleke matokeo yake hapokei simu ko nimeenda nimerudi empty.
Kuna mada humu inatoa codes za machimbo yote kariakoo
 
Back
Top Bottom