E Eddy mtatina Senior Member Jan 8, 2014 174 142 Mar 14, 2017 #1 Naomba maelekezo ya kitaalamu kuokoa pc iliyoingiliwa na maji.
qaxemvule JF-Expert Member Feb 6, 2017 231 120 Mar 14, 2017 #2 Nunua mchele ukisha usibane ifunue ingiza katikati ya mchele iache muda wa masaa 72 itowe itakua maji yote yamenyonywa na imekaushwa safi
Nunua mchele ukisha usibane ifunue ingiza katikati ya mchele iache muda wa masaa 72 itowe itakua maji yote yamenyonywa na imekaushwa safi
Glenn JF-Expert Member May 23, 2015 67,910 162,082 Mar 15, 2017 #3 qaxemvule said: Nunua mchele ukisha usibane ifunue ingiza katikati ya mchele iache muda wa masaa 72 itowe itakua maji yote yamenyonywa na imekaushwa safi Click to expand... Siamini kuwa una maanisha
qaxemvule said: Nunua mchele ukisha usibane ifunue ingiza katikati ya mchele iache muda wa masaa 72 itowe itakua maji yote yamenyonywa na imekaushwa safi Click to expand... Siamini kuwa una maanisha
Dahafrazeril JF-Expert Member Jul 28, 2015 1,500 2,056 Mar 15, 2017 #4 Eddy mtatina said: Naomba maelekezo ya kitaalamu kuokoa pc iliyoingiliwa na maji. Click to expand... Pole sana Mkuu!! Wasubiri wataalamu.
Eddy mtatina said: Naomba maelekezo ya kitaalamu kuokoa pc iliyoingiliwa na maji. Click to expand... Pole sana Mkuu!! Wasubiri wataalamu.
J jT0078 JF-Expert Member Sep 26, 2016 264 253 Mar 15, 2017 #5 Toa battery then ifungue then ilaze keyboard iangalie chini