MSAADA WA KUUPDATE SIMU

JayJay11

Senior Member
Dec 9, 2015
136
139
Habari zenu...
Nina simu aina ya Samsung S3 na nimesikia inawezekana kuiupdate Android version yake kwenda kweny lollipop

Kwa sasa version yake ni Jelly Bean.... Naomba msaada jinsi ya kuiupdate ili iwe lollipop tafadhali
Natanguliza Shukrani...
 
S3 update yake mwisho jelly bean na zipo nyingine zinafika kitkat zaidi ya hapo ukiforce itakuwa slow na kuchemka mara kwa mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…