MSAADA WA KUUNGANISHWA NA NDUGU WA PRISCUS ALOYSE MATEI (R.I.P).

Habari wanajamii forums!
Naomba MSAADA Kwa yeyote atakayekuwa anajua ndugu yeyote WA PRISCUS ALOYSE MATEI ambaye Kwa sasa ni marehemu, kabisa mchanga wa Moshi, alifariki 2013 kama sikosei. Nia na dhumuni ni kutaka kuwaunganisha hao ndugu na damu ya ndugu yao aliyoiacha mahali. Asante.
Huyu alikuwa anafanya shughuli gani? Kuna mmoja alikuwa fundi wa photocopy alafu baadae akaanza biashara ya mbao Liwale je ndio huyu?
 
Huyu alikuwa anafanya shughuli gani? Kuna mmoja alikuwa fundi wa photocopy alafu baadae akaanza biashara ya mbao Liwale je ndio huyu?
Kuna mambo yanafanya niwe na limited info. Mkuu, ila alikuwa ni fundi nyumba, mara ya kwanza kujua habari zake alikuja mbeya kulikuwa na ujenzi WA ghorofa la mfanyabiashara WA mbeya Anaitwa Kasisi.
 
Kuna mambo yanafanya niwe na limited info. Mkuu, ila alikuwa ni fundi nyumba, mara ya kwanza kujua habari zake alikuja mbeya kulikuwa na ujenzi WA ghorofa la mfanyabiashara WA mbeya Anaitwa Kasisi.
Ninaye mfaham mm sio huyo unaemsema. Yeye alikuwa fundi photocopy na printer mm alikuwa fundi wangu mkubwa hadi umauti unampata
 
Kama ungekuwa napicha ingesaidia maneno tu nikama kuziba maskio na kunyampa eti uskie mvumo wake. Utaambulia harufu tu
 
Back
Top Bottom