Jamani nimrkutana na changamoto Natumia Windows 7 ultimate 64bit.haina Antivirus.Juzi hapa wameniingilia Kibaya walichonifanyia Wameingia Kwenye Software Zanguu zote ambazo hazikuwa kwenye Zip file wamezibadilisha Zote tu 0kb.Na hata nikipakua Software yoyote ile mtandaoni Ikimaliza kupakua nayo inaliwa.Hata nikibahatika kuistal program Unaweza isifunguke..
Naomba msaada Jinsi ya kufanya maana hata nikitakuweka Antivirus inaliwa wakati wa kuiweka..Nilijaribu hata kushusha window bado Wamekomaa na Nina vitu Muhimu sana Natakuvi rudisha kama inawezeka Naomba msada.
Natanguliza Shukranii zangu Kwenu wana JF.