K Kichasi Member Aug 30, 2011 61 14 Dec 27, 2016 #1 Naomba kwa yeyote anayejua application ambayo itarudisha namba zilizopotea kwenye simu anisaidie.Sababu za kupotea ni kwamba leo nilienda kwa fundi simu halafu akaiflash na namba zote zikafutika.
Naomba kwa yeyote anayejua application ambayo itarudisha namba zilizopotea kwenye simu anisaidie.Sababu za kupotea ni kwamba leo nilienda kwa fundi simu halafu akaiflash na namba zote zikafutika.
J johnmlay Senior Member Mar 27, 2012 153 59 Dec 27, 2016 #3 mikasiboy said: Haukusave number zako kwenye Gmail? Click to expand... jaribu kurudisha gmail account yako then urestore contacts zako
mikasiboy said: Haukusave number zako kwenye Gmail? Click to expand... jaribu kurudisha gmail account yako then urestore contacts zako
Ricardo Damiano Senior Member Nov 4, 2011 103 80 Dec 27, 2016 #4 kama ni Tecno restart tuu utaziona..Tecno wanamatatizo ya kupoteza contacts