Msaada wa kupata vyeti vyangu hususan eneo la Tarime 2024

Daph Rb

New Member
Mar 9, 2022
2
1
Habari wana JamiiForums, naitwa Robi Daphane Ngabiya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye vigari vidogo aina ya probox mnamo tarehe 20 -7-2024 lilikuwa linatoka Tarime mjini kwenda Sirari

Cheti cha Form 4, Cheti cha diploma nursing Transcript yake, Cheti cha kuzaliwa, lessen ya uuguzi,(nursing and midwifery) kadi ya mpiga kura

Mawasiliano yangu ni 0617214805 or 0629332343 na email yangu ni daphhrhobi@gmail.com kama kuna dondoo za kupatikana kwa vyeti vyenye majina hayo pamoja na vitu ivyo vingine tafadhali kama yupo aliepata au kusikia vimeonekana mahali anifahamishe inbox kuna zawadi nono itatolewa kama akifanikisha kupatikana kwake maana nilikuwa humu wengi ni wasomi na great thinkers tunajua umuhimu wa vyeti vikipotea ni changamoto sana kuvipata na inachukua mda na gharama pia zaid ya yote kama unamfahamu dereva yeyote hususani njia ya tarime had sirari nsaidie kushare nae .

Ahsante.
 
Nenda pale stendi ya borega tangaza kwa madereva wote wa pale
lakini pia kwa kuwa ili kuwa unaenda sirari probably vitakuwa huko huko so cha kufanya kodi gari la matangazo lipite mitaa yote kama nyamorege,buriba,sokoni,gwitiryo,makima na mpakani....unapotangaza hakikisha unaweka wazi vitu vilivyopotea ili raia wasije ogopa kuvirudisha kwa kuhofia labda unaeza wageuka kuwa ulikuwa na Mali nyingine zenye thamani mfano, pesa.
 
Back
Top Bottom