Msaada wa kupata connection nje ya nchi

Jicholamwewe

JF-Expert Member
Jan 2, 2021
375
464
Wakuu poleni kwa majukumu. Bila kupoteza mda .naomba yeyote mwenye connection au anayefaham connection za kwenda nje ya nchi. Europe, USA pia Canada.

Naomba anisaidie kazi yoyote nitafanya hata kubeba box.namejalibu sana kuapply kazi lakani bado sijafanikiwa na bado sijakata tamaa.picha hapo juu ni njinsi navyo apply lkn bila mafanikio.

Na miaka 24 naombeni atakaye guswa na jambo hili anisaidie hata mawazo namna gani nitatikiza lengo hili.

Asanteni sana
Screenshot_20230303-130042.png
 
A quick search ungepata majibu yako badala ya kufungua uzi mwingine, tumejadili sana humu hayo mambo.

Tembelea page ya EBM Scholar youtube anaongelea hayo mambo zaidi. Good luck
 
Nimejalibu sana mkuu .na hata nimejalibu kumfata MTU mmoja mmoja ambao nahisi watakuwa msaada lakn bado
 
Umejaribu nini? Wapi?

Umejaribu kutafuta nyuzi hapa JF? Umemfuatilia EBM youtube?
 
A quick search ungepata majibu yako badala ya kufungua uzi mwingine, tumejadili sana humu hayo mambo.

Tembelea page ya EBM Scholar youtube anaongelea hayo mambo zaidi. Good luck
Uliye ingia huko basi ungeweza mdondoshea ata kidogo ili apate kwa kuanzia
 
Ukiwa na pesa mengine ni story kama katika muvi...

Pesa ya nauli na pesa ya kuishi kwa wakati fulani wakati una pambana na baridi na kutafuta kazi

Nchi zipo nyingi za kwenda kuanza kutafuta maisha ni wewe kujifunza kwa kina kuhusu nchi husika

Anza kutafuta list ya nchi unazo taka kwenda, baada ya hapo anza kuichambua nchi moja moja kwa kina kuhusu mambo mbalimbali kama Afya, kazi/ajira, elimu, nk

Pia angalia taratibu za kuingia nchi hiyo zipoje kwa raia wa Tanzania na uanze kufanyia kazi kila eneo ambalo unaweza

Bila kusahau juu ya ubalozi wao uliopo Tanzania na kama hawana una angalia ubalozi wao wa karibu au ubalozi unao fanya kazi hizo kwa niaba yao ktk yako Au nchi ulipo

Bima ni kitu cha msingi na kuipata haina makeke mengi sana

Mwaliko sio tatizo

Bank statement itabidi uitafute kwa namna unavyoweza na utafanikiwa

Ticket ni tafuta nauli ya kutembea au kukwea pipa, kulingana na nchi unayotaka kwenda kuangalia ustawi wa maisha yako

Accommodation sio ishu sababu utaenda kukaa mitaani hivyo utaangalia namna ya kufanya kukwepa hapa na ina wezekana pia

Yani kila kitu kina wezekana ukituliza akili na kujipanga ata kama itakuchukua mwaka mzima Au miaka miwili kuondoka kwa nguvu zako na mengine ytakutana nayo huko mbele ya Safari
 
Asante sana mkuu
 
Nikwel kabisa,kukosa pesa ndo kunatufanya tuwe hivi
 
Eeh bhn hii ishu nafatiliaga kuna jamaa anahitaji 9M kukamilisha vyote destination ni kazi ila iyo 9m ni kipengele sana asee
 
Wakuu poleni kwa majukumu.bila kupoteza mda .naomba yeyote mwenye connection au anayefaham connection za kwenda nje ya nchi.Europe,usa pia Canada.naomba anisaidie kazi yoyote nitafanya hata kubeba box.namejalibu sana kuapply kazi lakani bado sijafanikiwa na bado sijakata tamaa.picha hapo juu ni njinsi navyo apply lkn bila mafanikio.namiaka 24 naombeni atakaye guswa na jambo hili anisaidie hata mawazo namna gani nitatikiza lengo hili.asanteni sana
View attachment 2535781
Kuna jamaa anataka aniconnect kwenda Canada kisha US ,yeye alishaishi US na familia yake Iko huko .Alipata tatizo akarudi ila saa hizi yuko Canada kisha ataingia state.Anasema uwe na pasport na fare 4.5 m unaingia Canada.
 
Bado nina ndoto ya kuondoka hapa nchini maana naona kabisa bila kutoka basi tutaendelea kuwa wasindikizaji wazuri.

Mwenye connection nzuri ya nnje basi itakuwa vizuri kama atawadokeza na wengine waitaji.
 
Back
Top Bottom