Rasasem
Senior Member
- Jun 25, 2022
- 100
- 79
Salaam wakuu, ndugu zangu shida yangu ni kupata Admission letter 2023 kutoka chuo Cha UDSM ili nifanye mchakato wa kupata ruhusa ktk kituo changu Cha kazi, nimejaribu kuwasiliana na chuo bila kupata msaada chanya, kama Kuna mwenye ujuzi wa kusaidia jambo hili tafadhali naomba msaada waungwana@